Wazee Wakumbatia Mchezo Wa Mpira Wa Voliboli
Mazoezi yana umuhimu mwingi sana katika mwili wa mwanadamu. Wazee katika mji wa Nyahururu wamekumbatia uchezaji wa voliboli kama njia ya kufanya mazoezi kwa sababu kibao.
Fred Osongo ambaye ni Kocha wa timu ya voliboli mjini Nyahururu anaeleza kuwa y…